Soko la wanachama

Oda za soko

Hoteli, viwanda na taasisi huiomba TAPIFA nguruwe. Kama una nguruwe tayari, toa ofa hapa: TAPIFA itachagua na kukupigia.

  1. 1Chagua oda inayokufaa.
  2. 2Toa ofa kwa namba yako ya uanachama na simu.
  3. 3TAPIFA ikikubali, utapata SMS na simu ya kupanga usafirishaji.

Hakuna oda inayopokea ofa kwa sasa.

Unataka SMS oda mpya ikija? Iwashe kwenye ukurasa wako wa mwanachama: ukurasa wangu

Oda ni kwa wanachama wa TAPIFA. Bado si mwanachama? Jiunge